iqna

IQNA

khums
Khums katika Uislamu /8
TEHRAN (IQNA) - Khums na Zaka ni pesa au mali zinazopokelewa na taasisi za kidini za Kiislamu wakati ushuru unakusanywa na serikali.
Habari ID: 3477963    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/11/29

Zaka katika Uislamu /7
TEHRAN (IQNA) – Kuna mamia ya Hadithi kuhusu kile kinachosaidia katika kuendeleza urafiki.
Habari ID: 3477950    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/11/26

Khums katika Uislamu /7
TEHRAN (IQNA) - Wakati mwingine, kutokana na vishawishi vya shetani, mtu anaweza kufikiri amefanya mema mengi na kuwasaidia maskini na, kwa hiyo, hana haja ya kutoa Khums.
Habari ID: 3477932    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/11/23

Khums katika Uislamu /6
TEHRAN (IQNA) – Kupokea Khums kulikua jambo la kawaida katika zama za Mtukufu Mtume SAW).
Habari ID: 3477897    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/11/15

Khums katika Uislamu /5
TEHRAN (IQNA) – Kuna nukta nyingi zilizotajwa ndani ya Qur'ani Tukufu na Hadithi kuhusu faida za kulipa Khums.
Habari ID: 3477857    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/11/07

Khums katika Uislamu/3
TEHRAN (IQNA) – Uchumi ambao Uislamu unaupendelea ni ule uliochanganyika na maadili na hisia, na kuangalia aya kuhusu Khums ndani ya Qur’ani Tukufu kunadhihirisha vipengele muhimu vya suala hili.
Habari ID: 3477781    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/10/24

Waislamu Uingereza
TEHRAN (IQNA) – Waislamu wa Uingereza wanaripotiwa kutoa kiasi cha pauni bilioni 1 kwa mashirika ya misaada kila mwaka jambo linaloashiria uzingatiaji wao wa mafundisho ya Kiislamu kuhusu ukarimu.
Habari ID: 3476643    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/03/01