Habari Maalumu
IQNA – Mufti Mkuu wa Misri amesema kuwa akili mnemba (Artificial Intelligence – AI) haina mamlaka ya kutoa maamuzi ya Kiislamu au fatwa.
09 Aug 2025, 20:10
IQNA – Zaidi ya wafanyaziyara milioni tatu kutoka mataifa ya kigeni tayari wameingia Iraq kushiriki katika matembezi ya kila mwaka ya Arubaini, Waziri...
09 Aug 2025, 20:03
IQNA – Mashindano ya 65 ya Kimataifa ya Qur’ani ya Malaysia (MTHQA), yameimarika kwa mtazamo wa viwango ambapo majaji wamepongeza mahadhi na uhifadhi...
09 Aug 2025, 19:43
IQNA – Tuzo ya Kimataifa ya Qur’ani Tukufu ya Dubai imetangaza matokeo ya mchujo wa awali, ambapo washiriki 525 wamechaguliwa kuendelea katika toleo la...
09 Aug 2025, 00:29
IQNA – Gavana wa mkoa wa Karbala, Iraq, ametangaza kufanikiwa kuvuruga njama ya kigaidi iliyolenga wafanyaziyara wa Arbaeen katika eneo lake.
09 Aug 2025, 00:25
IQNA – Msikiti Mtakatifu jijini Makkah unatarajiwa kuanza kuandaa mashindano ya kimataifa ya Qur’ani kuanzia Jumamosi.
09 Aug 2025, 00:19
IQNA – Katika ufunguzi wa Kongamano la Dunia la Qur’ani 2025 jijini Kuala Lumpur, Malaysia, wito umetolewa wa kuifanya Qur’ani kuwa mwongozo wa kina katika...
09 Aug 2025, 00:15
IQNA – Mwanaharakati mkongwe wa Qur’ani amesisitiza umuhimu wa msafara wa Qur’ani wa Arbaeen kutoka Iran katika kueneza na kutambulisha sura ya Qur’ani...
09 Aug 2025, 00:09
IQNA – Waziri wa Mambo ya Ndani wa Iraq amesisitiza juhudi za kila upande zinazofanywa na wizara yake ili kuwatumikia wafanyaziyara wanaoshiriki katika...
08 Aug 2025, 10:40
IQNA – Kongamano la Dunia la Qur’ani 2025 linatarajiwa kufanyika leo katika Kituo cha Biashara cha Dunia, Kuala Lumpur (WTCKL), likiendana na Mashindano...
07 Aug 2025, 20:16
IQNA – Ahmad Al-Daleel, msomaji na mhifadhi mahiri wa Qur’ani Tukufu kutoka Jamhuri ya Cameroon, ameungana na kampeni ya Fath ya Qur’ani kwa kuwasilisha...
07 Aug 2025, 20:07
IQNA – Jenan Nabil Mohammed Nofal ni hafidha wa Qur’ani Tukufu anayewakilisha Palestina katika Mashindano ya 65 ya Kimataifa ya Usomaji na Uhifadhi wa...
06 Aug 2025, 23:56
IQNA – Shirika moja la utetezi wa haki limeshutumu agizo jipya kutoka kwa serikali ya Trump linalozuia utoaji wa misaada ya majanga kwa majimbo na miji...
07 Aug 2025, 00:03
IQNA – Mashindano ya tatu ya kila mwaka ya kuhifadhi Qur’ani yanayoandaliwa na Msikiti Mkuu wa Al-Azhar nchini Misri yatafanyika kwa ushirikiano na benki...
06 Aug 2025, 23:52
IQNA – Wizara ya Wakfu na Mwongozo ya Yemen imetangaza kuwa itafanya mtihani maalum kwa ajili ya kuwachagua wawakilishi wa nchi hiyo watakaoshiriki katika...
06 Aug 2025, 23:46
IQNA – Kundi la kwanza la wahudumu wa Qur'ani kutoka Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, walioko katika Msafara wa Qur'ani wa Arbaeen, wamewasili Iraq mapema...
06 Aug 2025, 23:38