iqna

IQNA

Zaka
Zaka katika Uislamu /8
IQNA – Kukataa kutoa Zaka kwa mwenye uwezo ni dhambi kwani maana yake ni kuacha Wajib (kitendo cha faradhi) katika dini tukufu ya Kiislamu. Pia kutotoa Zaka huwa matokeo mabaya ya kibinafsi na kijamii.
Habari ID: 3478049    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/12/17

Khums katika Uislamu /8
TEHRAN (IQNA) - Khums na Zaka ni pesa au mali zinazopokelewa na taasisi za kidini za Kiislamu wakati ushuru unakusanywa na serikali.
Habari ID: 3477963    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/11/29

Zaka katika Uislamu /7
TEHRAN (IQNA) – Kuna mamia ya Hadithi kuhusu kile kinachosaidia katika kuendeleza urafiki.
Habari ID: 3477950    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/11/26

Zaka katika Uislamu /6
TEHRAN (IQNA) - Kulipa Zaka ni miongoni mwa maamrisho ya Uislamu na kufanya hivyo kuna faida nyingi na manufaa kwa mtu binafsi.
Habari ID: 3477882    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/11/12

Zaka katika Uislamu /5
TEHRAN (IQNA) - Zaka t ni neno la Kiarabu lenye maana ya kutakasika na katika Fiqh (sheria za Kiislamu) maana yake ni kutoa kiasi fulani cha mali ya mtu kwa ajili ya misaada.
Habari ID: 3477862    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/11/08

Zaka katika Uislamu/3
TEHRAN (IQNA) – Kuwataka waumini kutoa Zaka ni jambo ambalo limekuwepo katika imani mbalimbali lakini kuna tofauti na dini nyingine katika namna Uislamu unavyoitazama Zaka .
Habari ID: 3477784    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/10/25

TEHRAN (IQNA) – Neno Zaka limetumika ndani ya Qur’ani Tukufu mara 32 na Kitabu kitukufu kinataja matokeo mbalimbali ya kutoa Zaka .
Habari ID: 3477755    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/10/18

TEHRAN (IQNA) – Moja ya faida za Uislamu ni kwamba uchumi wake umechanganyika na maadili na hisia, kama vile siasa zake zinavyochanganyika na dini.
Habari ID: 3477742    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/10/17

TEHRAN (IQNA) - Zaka ni wajibu wa kidini kwa Waislamu ambao wanakidhi vigezo muhimu vya kuchangia sehemu fulani ya baadhi ya mali zao.
Habari ID: 3477720    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/10/12

Waislamu Uingereza
TEHRAN (IQNA) – Waislamu wa Uingereza wanaripotiwa kutoa kiasi cha pauni bilioni 1 kwa mashirika ya misaada kila mwaka jambo linaloashiria uzingatiaji wao wa mafundisho ya Kiislamu kuhusu ukarimu.
Habari ID: 3476643    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/03/01

TEHRAN (IQNA)- Utafiti wa hivi karibuni umebaini kuwa Waislamu wa Marekani walitoa msaada wa dola bilioni 1.8 mwaka 2021, mwaka huo huo ambao ulishuhudia ongezeko kubwa la visa vya ubaguzi na unyanyasaji dhidi ya wafuasi wa dini hiyo ya Mwenyezi Mungu.
Habari ID: 3475178    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/04/28

TEHRAN (IQNA)- Maimamu na wanafikra kadhaa wa Kiislamu na Kiarabu duniani wametia wametoa wito wa kutaka Zaka itumike katika jitihada za kukabiliana na janga la ugonjwa wa COVID-19 au corona.
Habari ID: 3472654    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/04/11