iqna

IQNA

ardhi
Zilzala Syria na Uturuki
TEHRAN (IQNA)-Matumaini ya kupata manusura zaidi chini ya vifusi vya nyumba zilizobomolewa mitetemeko miwili mikubwa ya ardhi Jumatatu iliyopita katika nchi za Syria na Uturuki yanazidi kupungua siku 5 baada ya maafa hayo ambapo idadi ya walipoteza maisha hadi sasa ikifika 25,000 huku Umoja wa Mataifa ukitabiri kuwa yamkini idadi hiyo ikaongezeka maradufu.
Habari ID: 3476547    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/02/11

Qur'ani inasema nini / 2
TEHRAN (IQNA)- Wakati Mwenyezi Mungu SWT alipomuumba mwanadamu, alimfanya kuwa Khalifa au msaidizi wake katika ardhi .
Habari ID: 3475280    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/22

Utawala wa Kizayuni wa Israel umenyakua kipande kikubwa cha ardhi ya Wapalestina katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.
Habari ID: 3470200    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/03/16

Mwanafalaki (mwanaastronomia) mashuhuri wa Iran amesema kuwa kuna aya 750 katika Qur’ani Tukufu kuhusu sayansi asilia na sayansi jarabati kwa lengo la kuwakumbusha watu masuala kuhusu maudhui kama vile maumbile ya mbingu na ardhi , milima, mimea n.k.
Habari ID: 3340977    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/08/10