iqna

IQNA

wakufurishaji
TEHRAN (IQNA)- Kwa uchache watu 10 wameuawa katika shambulizi la magaidi wakufurishaji walilolenga msikiti wa kijiji kimoja huko magharibi mwa Niger.
Habari ID: 3474421    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/14

TEHRAN (IQNA)- Kikosi Maalumu cha Jeshi la Taifa la Somalia (SNA) jana Jumatatu kiliua wanachama saba wa genge la kigaidi la al Shabab wakati kikosi hicho kilipoendesha operesheni maalumu za kuwasaka magaidi hao katika eneo la Shabelle la kusini mwa Somalia.
Habari ID: 3474385    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/05

TEHRAN (IQNA)- Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa amedai kuwa jeshi la nchi yake limemuangamiza Adnan Abou Walid al-Sahrawi, kinara wa tawi kundi la kigaidi la ISIS au Daesh Magharibi mwa Afrika (ISWAP).
Habari ID: 3474302    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/09/16

TEHRAN (IQNA)- Watu wasiopungua kumi wameuawa baada kundi la kigaidi la Al Shabab kutekeleza hujuma katika mghahawa mmoja wenye shughuli nyingi kwenye makutano ya barabara ya Jubba, katika mji mkuu wa Somalia, Mogadishu.
Habari ID: 3474067    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/07/03

Sayyid Abdulmalik Badruddin al-Houthi
TEHRAN (IQNA) - Kiongozi wa Harakati ya Ansarullah ya Yemen amesema mashirika ya kijasusi ya nchi za Magharibi ndiyo ambayo yaliibua makundi ya magaidi wakufirishaji duniani.
Habari ID: 3473278    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/10/20

TEHRAN (IQNA)-Maafisa wa mahaka za Msumbiji wametangaza kuwa wamewahukumu wanachama 200 wa kundi la al Shabab la magaidi wakufurishaji .
Habari ID: 3471702    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/10/05

TEHRAN (IQNA)-Magaidi wakufurishaji wa Boko Haram wameua askari kumi wa Niger katika hujuma kusini mashariki mwa nchi, karibu na mpaka na Nigeria.
Habari ID: 3471580    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/07/02

TEHRAN (IQNA)-Magaidi wakufurishaji wa Boko Haram wameuawa Waislamu 5,247 katika jimbo la Adamawa nchini Nigeria kati ya mwaka 2013 na 2017, ripoti ya shirika moja la Kiislamu imefichua.
Habari ID: 3471341    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/01/03

Sayyid Hassan Nasrallah
IQNA-Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Hizbullah amesema magaidi wakufurishaji wanaotenda jina magharibi mwa Asia na Afrika hawana uhusiano wowote na Uislamu wala Matume Mtukufu Muhammad SAW.
Habari ID: 3470759    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/12/25

Spika wa Bunge la Iraq
Spika wa Bunge la Iraq amesema Umma wa Kiislamu unakabiliwa na hatari kubwa kutokana na makundi ya wenye misimamo mikali nay a kufurutu ada.
Habari ID: 3470628    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/10/22

Jeshi la Misri limeushambulia kwa misingi msikiti mmoja katika Rasi ya Sinai, na kuharibu sehemu za msikiti huo.
Habari ID: 3470471    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/07/24

Katibu Mkuu wa harakati ya Kiislamu ya Hizbullah
Katibu Mkuu wa harakati ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon amesema makundi ya kigaidi yanayoungwa mkono kwa hali na mali na Saudia na Marekani yanatishia usalama wa eneo la Magharibi mwa Asia.
Habari ID: 3470414    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/06/25

Kundi la magaidi na wakufurishaji wa ISIS (Daesh) kwa mara nyingine wametishia kuibomoa al-Ka'aba katika mji mtakatifu wa Makka.
Habari ID: 3353091    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/08/27