Rais wa Iran Atembelea Maonyesho ya Kimataifa ya Qur'ani ya Tehran, ashiriki hafla ya kuwaenzi watumishi wa Qur'ani
IQNA - Rais wa Iran Ebrahim Raisi ametembelea Maonyesho ya 31 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Tehran tarehe 30 Machi 2024. Pia alihudhuria hafla ya kuwaenzi watumishi 15 wa Qur'ani.