iqna

IQNA

nafaka
Uislamu na vita dhidi ya njaa
TEHRAN (IQNA)-Rais wa Misri Abdel Fattah El-Sisi ametoa wito kwa maafisa wa nchi hiyo kuchukua somo kutoka aliyoyasema Nabii Yusuf AS katika Qur’ani Tukufu kuhusu kuweka akiba ili waweze kushughulikia hali ya sasa ya uhaba wa ngano na nafaka zingine.
Habari ID: 3475286    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/23