iqna

IQNA

mwanadamu
TEHRAN (IQNA) – Katika maisha yake yote, mwanadamu hukumbana na hali na changamoto mbalimbali, ambazo baadhi yake zinaweza kumsababishia kufanya mambo mabaya kwake au kwa wengine.
Habari ID: 3477741    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/10/17

Maadili katika Qur'ani / 7
Subira ni sifa ya kimaadili ambayo imesaidia watu kufikia mafanikio na maendeleo tangu wakati wa Adamu (AS).
Habari ID: 3477186    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/06/24

Qur'ani Tukufu Inasemaje / 26
TEHRAN (IQNA) – Mwanadamu hupatwa na masaibu au matatizo mbalimbali katika maisha yake yote, utotoni, akiwa mtu mzima, na anapoolewa na kuwa na familia yake.
Habari ID: 3475986    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/24

Tafakari
TEHRAN (IQNA) – Kwa mtazamo wa Qur’ani Tukufu, wanadamu ni bora kuliko viumbe wengine kutokana na akili na hekima zao na ni kwa ajili ya sifa hii, miongoni mwa nyinginezo, ambapo mwanadamu amechaguliwa kuwa khalifa wa Mwenyezi Mungu duniani.
Habari ID: 3475570    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/08/02

Qur'ani inasema Nini / 4
TEHRAN (IQNA) - Vitabu vitakatifu katika dini mbali mbali mara nyingi huzingatiwa kama chanzo cha kuimarisha hali ya kiroho ya mtu na hii inaeleweka kama fikra ya mwongozo lakini Quran Tukufu ina misingi ya kipekee kuhusiana na nukta hii.
Habari ID: 3475320    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/31

Qur'ani inasema nini / 2
TEHRAN (IQNA)- Wakati Mwenyezi Mungu SWT alipomuumba mwanadamu , alimfanya kuwa Khalifa au msaidizi wake katika ardhi.
Habari ID: 3475280    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/22