najaf - Ukurasa 3

IQNA

TEHRAN (IQNA) - Idadi kubwa ya Wairaki wametembea kwa miguu kutoka mji wa Karbala kuelekea Najaf kwa lengo la kushiriki katika shughuli ya maombolezo na kukumbuka tukio chungu la kuaga dunia Mtume Muhammad SAW.
Habari ID: 3473262   Tarehe ya kuchapishwa : 2020/10/15

Khatibu wa Sala ya Ijumaa katika mji wa Najaf, Iraq katika hotuba zake jana amesema kuwa, ‘maeneo mengi ya Iraq yamekomboloewa kutokana na baraka ya fatwa ya Jihad al-Kifai iliyotolewa na Ayatullah Sistani.’
Habari ID: 3313860   Tarehe ya kuchapishwa : 2015/06/13