iqna

IQNA

Wakfu
Harakati za Qur'ani
IQNA - Wizara ya Wakfu na Masuala ya Kiislamu ya Jordan imechapisha nakala milioni moja za Qur'ani Tukufu tangu ilipoanzishwa mwaka 1968.
Habari ID: 3478237    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/01/22

IQNA - Idara ya Waqfu ya Kiislamu huko al-Quds (Jerusalem) imesema kumeshuhudiwa ongezeko la idadi ya walowezi wa Kizayuni waliouhujumu Msikiti wa Al-Aqsa mwaka jana.
Habari ID: 3478133    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/01/02

Shughuli za Qur'ani
Wizara ya Wakfu ya Misri imezindua kozi tatu za mtandaoni za Qur'ani kwa wanafunzi kutoka nchi mbalimbali.
Habari ID: 3477134    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/06/11

Harakati za Qur'ani
TEHRAN (IQNA) – Serikali ya Umoja wa Kitaifa (GNU) nchini Libya imezindua Mus’haf (nakala ya Qur’ani Tukufu) iliyochapishwa na Shirika la Wakfu la nchi hiyo.
Habari ID: 3476734    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/03/20

Mashindano ya Qur'ani ya Iran
TEHRAN (IQNA) – Mashindano ya 39 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran yamefunguliwa rasmi Jumamosi Alasiri mjini Tehran.
Habari ID: 3476582    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/02/18

Mashindano ya Qur'ani ya Iran
TEHRAN (IQNA) - Wataalamu wa Qur'ani kutoka Iran na nchi nyingine nane watahudumu katika jopo la waamuzi katika awamu ya mwisho ya Awamu ya 39 ya Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Iran.
Habari ID: 3476554    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/02/13

Mashindano ya Qur'ani
TEHRAN (IQNA) - Jopo la waamuzi wa Mashindano ya 45 ya Kitaifa ya Qur'ani Tukufu ya Iran limetangaza majina ya washindi katika sehemu ya wanaume na wanawake ya mashindano hayo.
Habari ID: 3476428    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/01/19

Harakati za Qur'ani Tukufu
TEHRAN (IQNA) - Wizara ya Wakfu ya Misri imezindua mipango ya kuandaa mashindano ya kitamaduni mtandaoni kwa wanafunzi wa vituo vya kuhifadhi Qur'ani Tukufu nchini humo.
Habari ID: 3476423    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/01/18

Harakati za Qur’ani Misri
TEHRAN (IQNA) - Wizara ya Wakfu ya Misri imesema imeshaandaa vikao vya kufunza Qur'ani Tukufu maalumu kwa watoto katika zaidi ya misikiti 6,000 kote Misri.
Habari ID: 3476257    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/16

TEHRAN (IQNA)- Wizara ya Wakfu ya Misri imesema misikiti na maeneo yote ya ibada nchini humo yanaweza kuanza tena shughuli za kawaida kama ilivyokuwa kama ya janga la corona.
Habari ID: 3475218    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/07

TEHRAN (IQNA)- Raundi ya kwanza ya Mashindano ya 45 ya Kitaifa ya Qur'ani Tukufu ya Iran imepengwa kufanyika katika miezi ya Juni na Julai.
Habari ID: 3475111    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/04/11

TEHRAN (IQNA)- Vituo vya kuwafunza waalimu wa Qur'ani nchini Misri vinatazamiwa kuanza tena shughuli zao baada ya kufungwa kwa mwaka moja.
Habari ID: 3474579    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/19

TEHRAN (IQNA)- Idadi ya washiriki wa Mashindano ya Kitaifa ya Qur’ani ya Iran mwaka huu imeongezeka mara tatu ikilinganishwa na mwaka jana.
Habari ID: 3474362    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/09/30

TEHRAN (IQNA) – Wizara ya Wakfu ya Syria imetangaza kuanza swala za jamaa katika misikiti ya nchi hiyo kuanzia sikua ya Jumatano.
Habari ID: 3472808    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/05/27