IQNA

Kila siku na Qur'ani: Qiraa ya Tarteel ya Juzuu ya 28

Kila siku na Qur'ani: Qiraa ya Tarteel ya Juzuu ya 28

IQNA – Hii ni qiraa ya Tarteel ya Juzuu ya 28 ya Qur'ani ya Qari mashuhuri wa Iran Hamidreza Ahmadivafa.
08:52 , 2024 Apr 08
Iran haitaingia vita vya moja kwa moja na utawala wa Israel

Iran haitaingia vita vya moja kwa moja na utawala wa Israel

IQNA - Kamanda katika Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu la Iran (IRGC) amesema Jamhuri ya Kiislamu haitajihusisha na vita vya moja kwa moja na utawala haramu wa Israel na kwamba jibu la shambulio la Israel dhidi ya ubalozi mdogo wa Iran nchini Syria halitakuwa kwa  makombora na ndege zisizo na rubani pekee.
06:50 , 2024 Apr 08
Bango | Ipokee dua yangu

Bango | Ipokee dua yangu

...Ewe Mola wetu Mlezi, na ipokee dua yangu. Sura Ibrahim Aya ya 40
06:23 , 2024 Apr 08
Maqari wa Iran na Kuwait wasoma Qur'ani kwa mtindo wa Munafisah katika Kipindi cha TV cha Mahfel (+Video)

Maqari wa Iran na Kuwait wasoma Qur'ani kwa mtindo wa Munafisah katika Kipindi cha TV cha Mahfel (+Video)

IQNA - Qari wa Iran Ustadh Hamed Shakernejad na Qari wa Kuwait Sheikh Abdullah Abul Hassan wamesoma Qur'ani kwa mtindo wa Munafisah katika kipindi maarufu cha televisheni cha Qur'ani nchini Iran kinachojulikana kama Mahfel.
06:14 , 2024 Apr 08
Wahifadhi Qur'ani, wasomaji waenziwa katika kambi ya wakimbizi Gaza

Wahifadhi Qur'ani, wasomaji waenziwa katika kambi ya wakimbizi Gaza

IQNA - Kundi la wahifadhi na wasomaji Qur'ani wamehitimu kozi ya Qur'ani iliyofanyika katika kambi moja ya wakimbizi huko Gaza.
06:03 , 2024 Apr 08
Dua za Kila Siku za Mwezi wa Ramadhani- Siku ya 28

Dua za Kila Siku za Mwezi wa Ramadhani- Siku ya 28

IQNA-Dua hizi za kila siku za Mwezi wa Ramadhani husomwa toka mwanzo ya tarehe mosi Ramadhani hadi siku ya mwisho katika mwezi huu mtukufu. Kila dua ina siku yake, na inaweza kusomwa mara nyingi kadiri ya uwezo wa mtu mwenyewe.
05:47 , 2024 Apr 08
Mashindano ya 3 ya Kimataifa ya  Qur'ani ya Meshkat yamalizika Tehran

Mashindano ya 3 ya Kimataifa ya Qur'ani ya Meshkat yamalizika Tehran

IQNA - Washindi wa Awamu ya 3 ya Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani ya Meshkat yamalizika, washindi watajwa na kutunukiwa zawadi.
16:32 , 2024 Apr 07
Mashindano ya 17 ya Qur'ani ya Televisheni ya Al-Kawthar yafika nusu fainali

Mashindano ya 17 ya Qur'ani ya Televisheni ya Al-Kawthar yafika nusu fainali

IQNA – Maqari waliofanikiwa kuingia katika awamu ya nusu fainali ya Mashindano ya 17 ya Kimataifa ya Qur'ani ya Al-Kawthar TV wametangazwa.
16:14 , 2024 Apr 07
Sheikh Mkuu wa Al Azhar: Binadamu Anahitaji Mwongozo wa Qur'ani Tukufu

Sheikh Mkuu wa Al Azhar: Binadamu Anahitaji Mwongozo wa Qur'ani Tukufu

IQNA - Imamu mkuu wa Kituo cha Kiislamu cha Al-Azhar cha Misri alisema matukio machungu yanayotokea duniani yanadhihirisha ukweli kwamba ubinadamu unahitaji mafundisho ya Qur'ani Tukufu.
16:01 , 2024 Apr 07
Washindi wa Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani Misri watunukiwa

Washindi wa Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani Misri watunukiwa

IQNA - Washindi wa Awamu ya 30 ya Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani ya Misri wametunukiwa zawadi katika hafla ya Jumamosi.
11:58 , 2024 Apr 07
Kila siku na Qur'ani: Qiraa ya Tarteel ya Juzuu ya 27

Kila siku na Qur'ani: Qiraa ya Tarteel ya Juzuu ya 27

IQNA – Hii ni qiraa ya Tarteel ya Juzuu ya 27 ya Qur'ani ya Qari mashuhuri wa Iran Hamidreza Ahmadivafa.
11:21 , 2024 Apr 07
Dua za Kila Siku za Mwezi wa Ramadhani- Siku ya 27

Dua za Kila Siku za Mwezi wa Ramadhani- Siku ya 27

Dua hizi za kila siku za Mwezi wa Ramadhani husomwa toka mwanzo ya tarehe mosi Ramadhani hadi siku ya mwisho katika mwezi huu mtukufu. Kila dua ina siku yake, na inaweza kusomwa mara nyingi kadiri ya uwezo wa mtu mwenyewe.
00:23 , 2024 Apr 07
Maqari wa Algeria, Malaysia, na Indonesia washinda mashindano ya Qur’ani Qatar

Maqari wa Algeria, Malaysia, na Indonesia washinda mashindano ya Qur’ani Qatar

IQNA - Washindi wa  mashindano ya kimataifa ya Qur’ani yajulikanayo kama Tuzo ya Kuhifadhi Qur'ani ya Katara 2024 walitunukiwa katika hafla iliyofanyika Doha, Qatar, Ijumaa.
00:04 , 2024 Apr 07
Tafiti za Kisayansi Zafichua Faida za Kufunga

Tafiti za Kisayansi Zafichua Faida za Kufunga

IQNA - Kufunga au saumu ni jambo la kawaida katika tamaduni na dini nyingi ulimwenguni kwa milenia.
23:56 , 2024 Apr 06
Taasisi Iran yakamilisha tafsiri ya Qur'ani kwa Kiswidi ili 'Kupambana na Ujinga'

Taasisi Iran yakamilisha tafsiri ya Qur'ani kwa Kiswidi ili 'Kupambana na Ujinga'

IQNA - Taasisi moja ya Kiislamu nchini  Iran imetangaza kuwa imekamilisha tafsiri ya Kiswidi ya Qur'ani Tukufu katika hatua ya "kupambana na ujahilia" au ujingakufuatia matukio kadhaa ya kuvunjiwa heshima Qur'ani nchini humo mwaka jana.
23:06 , 2024 Apr 06
7