IQNA

Mashindano ya Kimataifa ya Qur'an Misri: Wizara ya Wakfu yatangaza tarehe ya mchujo

Mashindano ya Kimataifa ya Qur'an Misri: Wizara ya Wakfu yatangaza tarehe ya mchujo

IQNA – Wizara ya Wakfu ya Misri imetangaza majina ya washiriki wa KiMisri waliokidhi masharti ya kushiriki katika mtihani maalum wa uteuzi, ili kuwachagua wawakilishi katika toleo la 32 la mashindano ya kimataifa ya Qur'an nchini humo, pamoja na tarehe ya mtihani huo.
18:16 , 2025 Jul 18
Dunia yalaani mashambulizi ya Israel dhidi ya Syria

Dunia yalaani mashambulizi ya Israel dhidi ya Syria

IQNA – Jamii ya kimataifa imeendelea kulaani mashambulizi ya anga na droni yaliyofanywa na Israel katika maeneo kadhaa nchini Syria.
22:07 , 2025 Jul 17
Shiriki Kampeni ya Kimataifa ya Qur'ani ya ijulikanayo kama “Fath”

Shiriki Kampeni ya Kimataifa ya Qur'ani ya ijulikanayo kama “Fath”

IQNA – Kampeni mpya ya kimataifa ya Qurani kwa jina “Fath” imezinduliwa kwa lengo la kuinua morali ya majeshi ya Kiislamu na kueneza maadili ya Qurani ndani ya jamii, hasa kufuatia mashambulizi ya hivi karibuni ya Israel dhidi ya Iran.
10:49 , 2025 Jul 17
Kiongozi: Israel iliomba msaada wa Marekani baada ya kupata pigo katika ulipizaji kisasi wa Iran

Kiongozi: Israel iliomba msaada wa Marekani baada ya kupata pigo katika ulipizaji kisasi wa Iran

IQNA-Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei amesema Israel ililazimika "kusalimu amri na kuing'ang'ani Marekani" kwa kukata tamaa, wakati wa vita vya hivi karibuni vya siku 12 dhidi ya Iran, na kuthibitisha kuwa haina na uwezo wa kukabiliana na Jamhuri ya Kiislamu bila msaada.
17:50 , 2025 Jul 16
Kitabu kipya chafafanua historia ya zana za kuandika Qur’ani

Kitabu kipya chafafanua historia ya zana za kuandika Qur’ani

IQNA – Taasisi ya Mfalme Abdulaziz nchini Saudi Arabia imechapisha kitabu kipya kwa lugha ya Kiarabu kinachofuatilia historia ya maendeleo ya zana zilizotumika kuandika Qur’ani Tukufu.
17:39 , 2025 Jul 16
Qari wa Palestina auawa shahidi katika shambulizi la anga la Israel Gaza

Qari wa Palestina auawa shahidi katika shambulizi la anga la Israel Gaza

IQNA – Msomaji wa Qur’ani wa Palestina na mwimbaji wa kaswida za Kiislamu amekufa shahidi katika shambulizi la hivi karibuni la anga lililofanywa na Israel katika Ukanda wa Gaza.
17:33 , 2025 Jul 16
Misri yachukua hatua kudhibiti utoaji wa Fatwa kupitia sheria mpya

Misri yachukua hatua kudhibiti utoaji wa Fatwa kupitia sheria mpya

IQNA – Misri imeingia katika awamu mpya ya kudhibiti machafuko yanayohusiana na utoaji wa Fatwa (hukumu ya kidini), kwa kuandaa sheria mpya ya kuusimamia mchakato huo, kwa mujibu wa Ismail Duwaidar, mkuu wa Redio ya Qur’ani ya taifa hilo.
17:29 , 2025 Jul 16
Warsha ya mtadanoni kujadili jinsi Iran ilivyojibu uchokozi wa Israel

Warsha ya mtadanoni kujadili jinsi Iran ilivyojibu uchokozi wa Israel

IQNA – Shirika la Kimataifa la Habari za Qur’ani limeandaa warsha ya kimtandaoni (webinar) ya kimataifa iitwayo "Hadhi na Nguvu ya Iran; Ujumbe Zaidi ya Makombora" itakayofanyika mwishoni mwa wiki hii.
17:19 , 2025 Jul 16
19