Waandamanaji wamejitokezwa kwa wingi nchini Saudi Arabia katika Mkoa wa Mashariki kubainisha hasira zao kufuatia uamuzi wa hivi karibuni wa mahakama ya juu ya nchini humo iliyotoa hukumu ya kifo dhidi ya mwanazuoni maarufu wa Kishia Sheikh Nimr Baqir al-Nimr.
2015 Nov 13 , 17:14
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amelaani shambulio la ugaidi lililofanywa na kundi la kitakfiri la ISIS au Daesh nchini Lebanon siku ya Alhamisi ambapo watu 43 waliuawa na wengine zaidi ya 240 wamejeruhiwa.
2015 Nov 13 , 15:49
Sayyid Hassan Nasrullah, Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa, moyo wa kutaka shahada na kuuawa shahidi daima ni silaha imara zaidi mbele ya adui.
2015 Nov 12 , 18:30
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullahil Udhma Sayyid Ali Khamenei amesisitiza juu ya ulazima wa vyuo vikuu kutoa mchango katika kujenga ustaarabu mpya wa Kiislamu.
2015 Nov 11 , 21:49
Taasisi moja ya haki za binadamu ya Umoja wa Mataifa imetaka mwanazuoni mashuhuri wa Bahrain aachiliwe huru kwani anashikiliwa kinyuma cha sheria na utawala wa Aal Khalifa.
2015 Nov 07 , 12:53
Mkuu wa kundi kubwa zaidi la Mayuhudi wanaoishi Amerika ya Kaskazini amekosoa sera potofu za utawala haramu wa Israel dhidi ya Wapalestina.
2015 Nov 07 , 12:47
Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon Sayyed Hassan Nasrallah amesema utawala haramu wa Israel unahofia mwamko au Intifadha ya Wapalestina.
2015 Nov 07 , 05:54
Qur’ani Tukufu inawaita watu wote kuelekea katika akili, hekima na mazungumzo ya kimantiki, amesema mwanazuoni mwandamizi nchini Iran.
2015 Nov 06 , 21:49
Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Tehran itaendelea kwa nguvu zake zote kupambana na njama za mabeberu.
2015 Nov 04 , 22:00
Wairani leo wamefanya maandamano makubwa kote nchini kuadimisha mwaka wa 36 wa kutekwa ubalozi wa Marekani mjini Tehran mwaka 1979.
2015 Nov 04 , 21:56
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullahil Udhma Sayyid Ali Khamenei, amesema wananchi wa Iran hawatoinyooshea mkono wa urafiki Marekani ambayo inatumia kila mbinu na hila kwa lengo la kuifuta Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
2015 Nov 03 , 22:06
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Ali Khamenei amesema kuwa malengo ya Marekani katika eneo la Mashariki ya Kati yanatofautiana kwa daraja 180 na ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
2015 Nov 02 , 00:05
Wanafunzi Waislamu wanaosoma katika shule za umma au za binafsi zisizokuwa za Waislamu katika jimbo la California nchini Marekani wamefanyiwa uonevu au ubaguzi kwa kiwango cha zaidi ya mara mbili kwa wastani wa kitaifa.
2015 Nov 02 , 00:01