iqna

IQNA

libya
TEHRAN (IQNA) -Waziri wa Mambo ya Nje wa Uturuki amesema Serikali ya Muafaka wa Kitaifa Libya, inayotambuliwa na Umoja wa Mataifa, itaafiki mpatano ya usitishwaji vita iwapo tu jenerali muasi Khalifa Haftar ataondoa wapiganaji wake walioko maeneo ya kati na magharibi mwa nchi hiyo
Habari ID: 3472960    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/07/13

TEHRAN (IQNA) – Wizara ya Mambo ya Ndani ya Libya imetangaza kuwakamata magaidi wa kundi la ISIS au Daesh karibu na mji mkuu wa nchi hiyo ya kaskazini mwa Afrika.
Habari ID: 3472939    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/07/07

TEHRAN (IQNA) – Msanii wa Libya amefanikiwa kuandika Qur’ani Tukufu kikamilifu kwa maandishi ya kaligrafia.
Habari ID: 3472863    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/06/13

TEHRAN (IQNA) - Vita nchini Libya vimeshadidi na kushika kasi. Serikali ya Muafaka wa Kiataifa (GNU) yenye makao yake mjini Tripoli iko mbioni kukomboa maeneo yote ambayo yanakaliwa na wanamgambo wanaoongozwa na jenerali muasi Khalifa Haftar. Katika siku za hivi karibuni vikosi vya Serikali ya Muafaka wa Kitaifa vimepata mafanikio makubwa.
Habari ID: 3472846    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/06/07

TEHRAN (IQNA)- Uturuki imemtuhumu jenerali muasi Khalifa Haftar wa Libya kuwa analenga ‘kuibua udikteta wa kijeshi’ na hivyo imeapa kuulinda mji wa Tripoli.
Habari ID: 3472715    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/04/29

TEHRAN (IQNA) – Wanamgambo wa jenerali muasi Khalifa Haftar nchini Libya wameushambulia msikiti karibu na mji mkuu wa nchi hiyo, Tripoli.
Habari ID: 3472708    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/04/27

TEHRAN (IQNA)- Pamoja na kuwa janga la corona limeenea duniani kote na hivyo kupelekea kusitishwa mapigano katika maeneo mengi yamesitishwa lakini nchini Libya hali ni kinyume kwani tunashuhudia kushadidi vita.
Habari ID: 3472665    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/04/14

TEHRAN (IQNA) - Umoja wa Mataifa umetangaza leo kuwa, mazungumzo ya usitishaji vita nchini Libya baina ya vikosi vinavyopigania kuudhibiti mji mkuu wa nchi hiyo Tripoli, yameanza tena mjini Geneva, Uswisi siku kadhaa baada ya serikali ya Libya inayotambuliwa kimataifa kujitoa kwenye mazungumzo hayo kufuatia hatua ya mrengo hasimu ya kushambulia bandari ya Tripoli.
Habari ID: 3472493    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/02/21

TEHRAN (IQNA)-Mufti mkuu wa Libya amelaani vikali namna utawala wa kifalme Saudia unavyowakandamiza wanazuoni wa Kiislamu.
Habari ID: 3471383    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/02/07

TEHRAN (IQNA)-Mashindano ya tano ya Qur’ani ya wanawake yanafanyika wiki hii nchini Libya.
Habari ID: 3471131    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/08/20

TEHRAN (IQNA)-Bomu limelipuka katika mlango wa msikiti mjini Benghazi, Libya Ijumaa baada ya sala ya Alfajiri na kuwajeruhiwa watu saba.
Habari ID: 3471105    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/08/05