Kadhia ya Palestina
IQNA - Picha za qari wa Algeria akisoma Qur'ani kwa ajili ya kuwaenzi watu wa Gaza zimesambaa katika mitandao ya kijamii.
Habari ID: 3478712 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/04/21
Mashindano ya Qur'ani Algeria
IQNA - Rais wa Algeria ameamuru kuongezwa kwa zawadi za fedha zinazotolewa kwa washindi wa mashindano ya Qur'ani nchini humo.
Habari ID: 3478682 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/04/14
Diplomasia ya Kiislamu
IQNA-Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametangaza utayarifu wake wa kupanua uhusiano wa kiutamaduni kati ya Iran na Algeria kwa kuzingatia misikiti kama msingi na katika mwelekeo wa kuongeza maarifa, sayansi na kujenga umoja na mafungamano katika ulimwengu wa Kiislamu.
Habari ID: 3478444 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/03
Turathi
IQNA- Msikiti mkubwa zaidi barani Afrika, unaochukua waumini 120,000, umefunguliwa nchini Algeria siku ya Jumapili.
Habari ID: 3478418 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/26
Mashindano ya Qur'ani
Washindi wa Mashindano ya Kimataifa ya Qur’ani Algeria watunukiwa
IQNA –Mashindano ya 19 ya Kimataifa ya Qur’ani Tukufu ya Algeria yalihitimishwa siku ya Ijumaa.
Habari ID: 3478330 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/10
Mtazamo
IQNA - Imam Khomeini (MA) alitilia mkazo hadhi ya juu ya wanawake katika Uislamu na alizingatia sana haki zao, mwanazuoni wa Algeria amesema.
Habari ID: 3478322 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/09
Harakati za Qur'ani
IQNA - Wawakilishi kutoka zaidi ya nchi 40 wanashiriki katika mashindano ya 19 ya kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Algeria.
Habari ID: 3478307 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/05
Mashindano ya Qur'ani Tukufu
IQNA - Duru ya awali ya Mashindano ya 19 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Algeria ilianza katika mji mkuu wa nchi hiyo siku ya Jumapili.
Habari ID: 3478240 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/01/23
IQNA- IQNA – Qari Kijana wa Algeria Abdul Aziz Sahim ameshiriki usomaji wake wa hivi majuzi wa aya kutoka kwenye Surah Al-Baqarah.
Habari ID: 3478221 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/01/20
Milad un Nabii
ALGIERS (IQNA) - Waziri Wakfu na Masuala Kidini wa Algeria katika kikao na wasimamizi wa wizara hiyo walijadili kufanya sherehe za kuadhimisha kumbukumbu ya kuzaliwa kwa Mtume Muhammad (SAW) yaani Maulidi au Milad un Nabii.
Habari ID: 3477658 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/09/26
Kadhia ya Palestina
TEHRAN (IQNA)- Baada ya maandamano makubwa ya wananchi wa Libya kulaani kikao cha Waziri wa Mambo ya Nje wa nchi hiyo na Waziri wa Mambo ya Nje wa utawala haramu wa Israel, Waziri Mkuu wa Libya amesema: Tripoli inaunga mkono suala la ukombozi wa Palestina.
Habari ID: 3477534 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/09/01
Diplomasia
ALGIERS (IQNA)- Naibu Spika wa Bunge la Algeria amesisitiza kuwa, taifa hilo la kaskazini mwa Afrika halitafuata mkumbo wa nchi nyingine za Kiarabu wa kuanzisha uhusiano wa kawaida na Israel, akisisitiza kuwa Wa algeria wanautazama utawala huo kuwa wa kikoloni.
Habari ID: 3477450 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/08/17
TEHRAN (IQNA) – Abdul Aziz Sahim ni qari kijana na mwenye kipaji ambaye amepata kutambuliwa nchini Algeria.
Habari ID: 3476984 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/05/11
Taazia
TEHRAN (IQNA) – Sheikh Ali al-Qassimi, mwandishi maarufu wa Qur’ani nchini Algeria, amefariki dunia.
Habari ID: 3476973 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/05/08
Harakati za Qur'ani
TEHRAN (IQNA) - Waziri wa Masuala ya Kidini wa Algeria amesema baadhi ya wanafunzi milioni moja wamejiandikisha kwa ajili ya kozi za Qur'ani nchini humo.
Habari ID: 3476961 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/05/05
Mashindano ya Qur'ani
TEHRAN (IQNA) – Gereza moja katika mji mkuu wa Algeria, Algiers limewaenzi wafungwa 150 ambao waliweza kuhifadhi Quran Tukufu kikamilifu.
Habari ID: 3476907 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/04/24
Mashindano ya Qur'ani
TEHRAN (IQNA) - Washindi wa Shindano la 18 la Kimataifa la Kuhifadhi Qur'ani Tukufu Algeria wametunukiwa zawadi katika hafla iliyofanyika Jumamosi.
Habari ID: 3476583 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/02/19
Qiraa bora
TEHRAN (IQNA) – Muhammad Irshad Murabaei ni qari mwenye ulemavu wa macho nchini Algeria ambaye pia ni imamu wa sala nchini humo.
Habari ID: 3476393 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/01/12
Harakati za Qur'ani Algeria
TEHRAN (IQNA) - Wizara ya Wakfu na masuala ya Kiislamu ya Algeria imetangaza kuzindua duru ya awali ya mashindano ya kitaifa ya Qur'ani.
Habari ID: 3476218 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/08
Harakati za Qur'ani
TEHRAN (IQNA) – Algeria imewazawadia safari Umrah kwa wanafunzi 168 wa vyuo vikuu ambao wamefanikiwa kuhifadhi Qur’ani Tukufu kikamilifu..
Habari ID: 3476162 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/11/28