IQNA

Picha bora Zaidi za nujumu mwaka 2019

Mashindano ya picha bora Zaidi za nujumu mwaka 2019 yamefanyika na Kituo cha Nujumu cha Kifalme cha Greenwich kimetangaza picha zilizoteuliwa katika mashindano hayo.