IQNA

Msikiti wa Fuwele (Crystal), Malaysia

TEHRAN (IQNA)- Msikiti wa Fuwele (Crystal) au Masjid Kristal uko katika kisiwa cha Wan Man katika jimbo la Terengganu, nchini Malaysia.

Huu ni msikiti maridadi na wenye mvuto kutokana na muundo wake wa nje unaojumuisha mada za chuma, kioo na fuwele. Msikiti huo uko katika Bustani ya Turathi za Kiislamu katika kisiwa cha Wan Man.