IQNA

Msikiti wa Beemapally , Kerala, India

Msikiti wa Beemapally ni moja kati ya misikiti maridadi na yenye mvuto nchini India na uko katika mji wa Thiruvananthapuram ambao ni mji mkuu wa jimbo la Kerala, kusini mwa nchi hiyo.